Halmashauri ya ilemela imeweka wazi sekta ya elimu na afya ndizo sekta zitapewa kipaumbele katika matumizi ya mapato yaliyokusanywa katika kipindi cha mwezi julai hadi desemba 2025
Ambazo ni kiasi cha Billioni 7 sawa na asilimia 42.9 ya malengo ya mapato yanayotakiwa kukusanywa kwa mwaka Bilioni 16.4
Akitoa Ufafanuzi wa taarifa aliyoiwakilisha katika baraza la Madiwani wilaya ya ilemelaleo Januari 29 Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya ilemela Dk.Maria Kapinga anatataja sababu za vipaumbele hivyo
BOFYA HAPA CHINI KUSIKILIZA
