MAANDALIZI YA KUPELEKA KISWAHILI UFARANSA YAIVA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Methusela Ntonda ameongoza kikao cha Kamati ya Maandalizi ya Kongamano la Kimataifa la Kiswahili litakalofanyika mjini Paris nchini Ufaransa kuanzia tarehe 27 hadi 30 Aprili 2026.

Kikao hicho kimefanyika leo tarehe 29 Januari 2026 katika Ukumbi wa Kituo cha Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika, jijini Dar es salaam.

Majadiliano katika kikao hicho yamelenga kukutanisha na kuunganisha wadau kutoka Wizara, Taasisi mbalimbali na washiriki wa kimataifa. Ushirikiano huu unaendelea kuwa msingi wa mafanikio kuelekea kongamano hili.

Kongamano hili linabeba umuhimu mkubwa katika kuimarisha hadhi ya Kiswahili kama lugha ya utamaduni, maarifa na mshikamano wa kimataifa.

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na BAKITA zinaendelea kuwa nguzo muhimu katika kulinda, kukuza na kuendeleza Kiswahili kitaifa na kimataifa.

(Katika picha namba moja Naibu Katibu Mkuu ni wakulia aliyevaa miwani)

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post