Katibu tawala wa wilaya ya Ilemela Mariamu Msengi akiwa na Mkurugenzi mkuu wa Benk ya Finca kulia Bw. Edward Tawala
Benk ya Finca Imetoa madawati 70 katika Shule ya msingi Kaselia iliyopo Wilaya ya Ilemela mkoa wa Mwanza,Imetoa madawati hayo ikiwa ni siku ya Sherehe za Uzinduzi wa Jengo lao jipya mtaa wa karuta Jijini Mwanza siku ya Ijumaa ya tarehe 16.02.2024.Sherehe hizo ziliongozwa na Mkurugenzi wa Tasisi hiyo Bwana Edward Tawala,Pamoja na Viongozi wengine wa juu katika benki hiyo,
Viongozi mbalilimbali wamehudhulia hafla hiyo wakiongonzwa na Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Amina Nassoro Makilagi,Pamoja na wateja wasasa na wazamani toka kuanzishwa kwake mwanzoni mwa mwaka 1998 jijini mwanza
Mkuu wa Idara ya Bihasha Finca bwana Felcian Girambo,Akiwa na wanafunzia wa shule ya msingi kaselia
Fatilia Tukio zima la Uzindunzi na Utoaji wa Madawati 70 kwa kubofya hiyo Video hapa Chini

