Mwanza tujiandae na Afcon 2027.Mhe. Sarah Ng'hwani

 

Katika kuhakikisha halmashauri inapanga na kutekeleza miradi ya maendeleo kwenye sekta mbalimbali kwa lengo la kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi wataalam wa manispaa ya Ilemela wametakiwa kuongeza jitihada katika ukusanyaji wa mapato na kuendelea kubuni vyanzo vipya vya mapato ili kufikia malengo yaliyo kusudiwa.

Rai hiyo imetolewa na Mstahiki meya wa Manispaa ya Ilemela Mhe. Sarah Ng'hwani mapema tarehe 29 Januari 2026 wakati wa mkutano wa baraza la madiwani likijadili utekelezaji wa robo ya pili kipindi cha Oktoba - Desemba 2025/2026.




Huku akizitaka tasisi zinazosimamia viwanja vya mpira wa miguu ndani ya jiji la mwanza vianze kukarabatiwa mapema ili kutoa nafasi kwa timu zitakazo kuja katika mashindano ya Afcon 2027 kwa kuvitumia kama sehemu ya mazoezi ili vitoe fursa kwa wafanya biashara wakubwa na wadogo ndani ya jiji la mwanza Zaidi karibu kusikiliza hapa chini



Post a Comment (0)
Previous Post Next Post