WIMBO MPYA WA JAPHETI ZABRON NA FREDRICK NG'WILOLELA

 

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Fredrick Ng'wilolela  ametuletea Baraka ya wimbo wa NI MWEMA ambao Ameshirikiana na Mtumishi wa Mungu Japhet Zabron kutoka katika Kundi la Zabron Singers
Wimbo huo Upo katika mitandao ya kijamii karibu Ubarikiwe kwa ku Bofya hapa chini


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post