Niliandika wimbo wa Daktari wa madktari kwa sababu nilikua namtafakari Mungu
Mwaka 2023 nikiwa chuo naangalia Mambo ya Duniani
yanavyoendelea na nikiwaza juu ya Yesu alivyokuja duniani alifanya nini?
Wakati nafikiria juu ya Sayansi ya dunia inavyosema na sheria zake lakini Ujio wa Yesu ulivunja hiyo sheria kama vile kupaa,alifufua watu,Aliponya
watu…nk
Haya mambo hayawezekani katika elimu ya sayansi lakini Sayansi inasema kitu kikirushwa juu lazima kishuke chini, jiwe likirushwa lazima lishuke chini,yeye alivunja hiyo sheria yao,Yesu aligeuza maji kua divai wana sayansi wanasema lazima utumie kemikali kuchanganya ili upate divai alilisha watu 5000 kwa samaki wawili namambo mengi alifanya.
Katika kutafakari haya yote Ukubwa wake mambo
makubwa aliyoyafanya na Anayoyafanya ni kinyume kabisa na Sayansi.
Yeye ni DAKTARI WA MADAKTARI
KARIBU USIKILIZE HUU WIMBO KWA KU BOFYA HAPA CHINI

.jpg)