Bei ya Petroli,Dizel na Mafuta ya taa yashuka kwa Mwezi Oktoba.Ewura

 


Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo

za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano ya
tarehe 2 Oktoba 2024 saa 6:01 usiku. Kwa mwezi Oktoba 2024, bei za rejareja na
za jumla katika Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ni kama zinavyoonekana
katika Jedwali Na. 1 na 2, mtawalia.













Post a Comment (0)
Previous Post Next Post