Zingatia yafuatayo kama Unapitia haya
👉🏻Ukiwa na Acid nyingi tumboni kula Tango
👉🏻Ukiwa na tatizo la kutopata choo kunywa mtindi
👉🏻 Presha ya kupanda kula ndizi mbivu inaishusha haraka
👉🏻 Kuharisha, kunywa kahawa na tia matone kadhaa ya limao
👉🏻 Mafua, chai na limao
👉🏻 Misuli kukaza, parachichi kwasababu ina magnesium nyingi
👉🏻 Cholesterol, kula kipande cha bilingani iliyomenywa kabla ya kulala inafanya kazi kama dawa ya livitor
👉🏻 Hofu na uwoga, kunywa chai kwa majani ya camomile
👉🏻 Kutopata usingizi, kunywa shomari inafanya kazi kama dawa za usingizi
👉🏻 Kichwa kuuma, kula chembe 15 za lozi huwa ni sawa na dawa ya aspirin
👉🏻 Ukiwa na UTI, chemsha maji na kotmiri unywe asubuhi na usiku kabla ya kulala muda wa wiki

▪️Miguu yote kwa pamoja ina 50% ya mishipa ya fahamu ya mwili wa binadamu, 50% ya mishipa ya damu na 50% ya damu inapita ndani yake.
Tembea
▪️ Miguu ni mtandao mkubwa wa mzunguko wa damu unaounganisha mwili.
Kwa hivyo tembea kila siku
▪️Ni pale tu miguu inapokuwa na afya nzuri ndipo mkondo wa kawaida wa damu unatiririka vizuri, kwa hivyo watu ambao wana misuli ya miguu yenye nguvu watakuwa na moyo dhabiti. Tembea
▪️Uzee huanza kutoka miguu kwenda juu.
Tembea
▪️Kadiri mtu unavyozeeka ndivyo usahihi na kasi ya upitishaji wa maelekezo kati ya ubongo na miguu hupungua tofauti na mtu unapokuwa mdogo.
Tafadhali Tembea
▪️Aidha, kile kinachojulikana kama Calcium ya Mifupa itapotea haraka au baadaye baada ya muda, na kuwafanya wazee kukabiliwa na kuvunjika ovyo kwa mifupa.
TEMBEA
▪️Kuvunjika kwa mifupa kwa wazee kunaweza kusababisha matatizo kwa urahisi, hasa magonjwa hatari kama vile thrombosis ya ubongo.
Tembea
▪️Je, unajua kwamba 15% ya wagonjwa wazee kwa ujumla, hufa ndani ya mwaka mmoja baada ya kuvunjika kwa mfupa wa paja !!
Tembea kila siku bila kukosa
▪️ Hata sasa hujachelewa kuanza kufanya mazoezi ya miguu, kwani waweza kuanza hata baada ya umri wa miaka 60.
W A L K
▪️Ingawa miguu yetu itazeeka hatua kwa hatua, kufanya mazoezi ya miguu yetu ni kazi ya maisha yote.
Tembea hatua 10,000 kila siku
▪️Ni kwa kuimarisha miguu mara kwa mara, mtu anaweza kuzuia au kupunguza kuzeeka zaidi.
Tembea siku 365
▪️Tafadhali tembea kwa angalau dakika 30-40 kila siku ili kuhakikisha kuwa miguu yako inapata mazoezi ya kutosha na kuhakikisha kuwa misuli ya miguu yako inabaki na afya.
ENDELEA KUTEMBEA
Ikikupendeza, sambaza habari hii muhimu kwa marafiki zako wote na wanafamilia, kwani kila mtu anazeeka kila siku!
👉Kwa changamoto yoyote ya Kiafya unawez nijulisha tu na ukapata Tiba mara moja,
Imeandaliwa na
Dr Emanuel mjoli 0655181178