RATIBA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA MKOANI MARA


 
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Anaziara ya kikazi Mkoani Mara ya siku Tano,Kuanzia Tarehe 25.02.2024 hadi Tarehe 29.02.2024

Tumekuwekea Ratiba nzima ya Ziara ya Waziri Mkuu mkoani Mara  hapa chini





Imeandaliwa Na Pascal Kadushi

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post