ORODHA YA BAA ZILIZOFUNGIWA NA BASATA NCHINI

 


Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Limetangaza tarehe 24.02.2024 Kusitisha Huduma za Burudani kwa Baa ambazo zimeshindwa kuhuisha vibali vyao zaidi ya Baa 600 nchini zimesimamishwa zisifanye kazi ya kutoa Burudani na kuwatumia Ma dj,Washereheshaji (MCs) nk

















Moja ya Baa maarufa sana Jijini Mwanza The Cask






Post a Comment (0)
Previous Post Next Post