PUTTENY ANTHONY KATANGAZA UJIO WA ALBAMU YAKE MPYA

 


Mwimbaji wa Nyimbo za Injili kutokea Jijini Dodoma Tanzania Putteny Anthony anaye Vuma na Vibao vyake vikali kama vile,Futa,Napendwa,Unitetee nazingizo nyingi hata ukipata nafasi ya kutembelea kwenye Channeli yake ya Youtube Utaona kazi nzuri anayofanya katika kumtumikia Mungu kwa njia ya Uimbaji

          Sasa ametangaza kuja Ujio wa Albamu ya nyimbo 12 ambazozitakua katika Mfumo wa              Flash,Amezungumza nami kwa Njia mtandao wa Whatsapp ameelezea haya yafuatayo

'Shalom Mpendwa🙏Mwenyezi Mungu amenipa kibali kukamilisha ALBUM  yangu ya kwanza katika huduma ya uimbaji itakayo jumuisha nyimbo(12)za audio inayotarajiwa kutoka mnamo 26/03/2024 kwenye mfumo wa FLASH. Naomba support yako katika kumtangaza Kristo Yesu kwa kuchangia  kununua @TShs.20, 000/= kama sadaka yako katika kutangaza NENO LA MUNGU. BWANA AKUBARIKI SANA. #PUTTENYGOSPELMUSIC'



    Karibu Kumfatilia katika Mitandao yake ya Kijamii kwa Mjina yake

BOFYA HIYO LINK KUTAZAMA NYIMBO ZA MTUMISHI WA MUNGU PUTTENY ANTONY

By Kascal kadushi 

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post