DKT. PHILIP MPANGO AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA KUBORESHA HUDUMA YA MAJI TANGA

 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kuboresha Upatikanaji wa Huduma ya Maji Tanga kupitia Hatifungani katika Mtambo wa kutibu na kuzalisha maji Mowe uliyopo Kijiji cha Pande mkoani Tanga. Tarehe 22 Februari 2024.



By Pascal Kadushi

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post