Yanayoharibu Macho yako ni Haya

 


Madaktari wa Macho wanasema Ukiendelea na Tabia hizi Macho yako yatapofuka

1.Kutumia simu/Komputa kwa muda mrefu

2.Kuangalia simu au kitabu kwa ukaribu sana

3.Kukesha mara kwa mara

4.Kukodolea jua (kuangalia jua)

5.Kuangalia Vyuma vikichomolewa 

6.Kupikicha macho mara kwa mara



7.Kuweka Lenzi za macho

8.Kuvaa miwani ya Macho na huumwi macho



9.Kutokula Vyakula hivi



10.Kusomea kwenyeMwanga hafifu

Zingatia yafuatayo ili kulinda Macho yako

Usiku lala walau masaa7 hadi 8

Ukilala simu yako,laptop au kitabu kiwe umbali sawa na Urefu wa mkono wako

Fanya chekup yamacho mara kwa mara

Kila baada ya Dakika 20 angalia umbali wa Futi 20 kwa sekunde 20

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post