KARIBU KUTAZAMA VIDEO MPYA KUTOKA KWA BETTY KAGEZA - KAZI


 Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Kutokea Tanzania Betty Kageza leo Sep 14.2024 katubariki kwa Video ya Wimbo wake wa Kazi aliyofanya na Janeth John,Video imechukuliwa katika Mazingira ya Ziwa Victoria kutokea Jijini Mwanza na Mtayarishaji IP MAGERA,Audio ni kutokea Apex Studio

Karibu kutazama kupitia hii link ya Hapa chini



Post a Comment (0)
Previous Post Next Post