SEMINA YA SIKU 3 MWANZA YA MCHUNGAJI EMMANUEL MYAMBA YA ANZA NA NEEMA YA NAMNA YA KUPOKEA MUUJIZA NA KUUTUNZA MUUJIZA WAKO

 


                                               Mchungaji Emmanuel Myamba wa Kanisa la House of Victory

             Mtumishi wa Mungu, Mchungaji Emmanuel Myamba wa Makanisa ya House of Victory
Ameanza Semina ya siku tatu Katika Jiji la Mwanza katika Ukumbi wa Monarch Hotel Uliopo Maeneo ya Ghana Nyuma na Uwanja wa Mpira wa miguu Ccm Kirumba.
Semina hii Imepewa Jina la Namna ya Kupokea Muujiza na Kuutunza Muujiza wako.
Semina Imeanza toka terehe 23 Siku ya Ijumaa na Itaenda hadi siku ya Jumamosi na Jumapili ya tarehe 25 Mwezi huu wa pili mwaka 2023 pale pale Kwenye Ukumbi wa Hotel ya Monarch,
Watu wanafunguliwa Vifungo vyao walivyofungwa na Watesi wao kwa Muda mrefu

   Mchungaji Myamba anawakaribisha watu wote wa kanda ya ziwa waje kupokea Muujiza wao 







By Pascal Kadushi

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post