Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Magreth Mwakyusa aliyetamba na Vibao vyake kama vile Unaona nini,Ilikua ni lazima,Nimebarikiwa na zingine nyingi, Kupitia Mtandao wa Whatsap Amezungumza na Pascal Kadushi /pk.Ameelezea furaha yake kufanya kazi na Mkongwe wa Nyimbo za Injili Tanzania Joshua Mlelwa
"Ilikua ni ndoto yangu kufanya kazi na kaka yangu Joshua,Sasa tumefanikiwa kurekodi wimbo wetu mpya Unaitwa Ni wewe upo kwenye Youtube yangu inayofahamika kwa jina la MAGRETH MWAKYUSA,Ukiingia Usiache ku Subscribe na Mungu akubariki
Bofya hapo kuusikiliza wimbo mpya wa Magreth Mwakyusa na Jishua Mlelewa
By Pascal Kadushi

Nice
ReplyDelete