Moshi Wa TOBACCO Ndani Ya SIGARA Una Chemikali Zaidi Ya Aina 4000 Na Katika Hizo Chemikali Kuna Chemikali Zaidi Ya 250 Ambazo Zinaathiri Mishipa Ya Damu Ijulikanayo Kama ARTERIES Ambayo Inahusika Kusafirisha Damu Kwenye Mfumo Wako Wa UZAZI Ikiwemo UUME.
Kitu ambacho Hupelekea Kupatwa Na Shida Ya Poor Blood Flow Sababu Sigara Ina (Nicotine) Na Nicotine Ni Kama Kiwanda Cha Sumu Aina Ya (Free Radicals). Nicotine Husababisha Mishipa Ya Damu (Kuconstrict/Narrow) Kusinyaa Hivyo Kusababisha Poor Blood Flow Kwenye Viungo Muhimu Vya Mwilini.
Kumbuka UUME Hauna Mfupa Umetengenezwa Na Misuli Mitatu Ya Aina Mbili. Corpus Spongiosum na Corpus Cavarnosum. Na Ndani Ga Hii Misuli Ni Ujumuisho Wa Mishipa Ya Damu Na Tissue Laina Sana.
Inamaana Ili Uume Wako Usimame Inabidi Signal Zitoke Kwenye Ubongo Kuamuru Moyo Upump Damu ielekee Kwenye Uume Na Kisha Ile Misule Ikaze Na Ndo Upate Msimamo (Erection).
KUMBUKA ;Msingi wa Tendo La Ndoa Kwa Mwanaume ni Mfumo wako Wa Mzungunguko Wa Damu na Mishipa ,Ikitokea Imeathirika Basi Tendo Zima Linaharibika.
Cha Msingi Kaa Mbali na Matumizi Ya sigara📌
INAWEZEKANA UNATATIZO LOLOTE LA KIAFYA NIPIGIE DR EMMANUEL MJOLI WHATSAP 0655181178
